DOWNLOAD: Nasibu the Vibe – Swaghili Stories (Album)


Mkali wa hiphop, amekuletea album yake, SWAGHILI STORIES’ ambayo inapatikana bure kama ‘hewa ya oxygen’.
Kwenye album yake ya ‘SWAGHILI STORIES’ amekutanisha producers wa nchini na nje ya nchi kama USA, France, Jamaica na Iraq kupitia mtandao.
amesema anatamani kuona wasanii wengi wakitoa album ili kuuongezea thamani muziki wetu.

You may also like

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.